Monday, February 3, 2020

Shamba la Miti SaoHill ni miongoni mwa mashamba ya miti ya kupandwa ya Taifa lenye ukubwa wa hekta 135,903. Shamba hili lipo Nyanda za Juu kusini mwa Tanzania katika Mkoa wa Iringa, Wilaya ya Mufindi.
Dira ya shamba ikiwa ni kuwa kituo bora cha utunzaji mali asili, ukuzaji maendeleo ya viwanda vya bidhaa za misitu na mazao ya Nyuki
KARIBU KATIKA SHAMBA LA MITI SAOHILL.
#MISITU NI MALI
Pichani: Muonekano wa sehemu ya  Shamba la Miti SaoHill lililopo Wilayani Mufindi katika Mkoa wa Iringa


No comments:

Post a Comment